Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

Natamani niisome hii pia iko published anywhere kwamba niipate.
 
Hatimiliki haizuii kunukuu sehemu ndogo kwa matumizi ambayo si ya kibiashara kama kufundisha na majadiliano ya kijamii kama hapa.
 
Kwa kilichoandikwa na kuzungushiwa duara, ndio ukweli wa yaliyotokea. Kuna sehemu nilisoma kuwa Nyerere alikuwa hajui mipango ya Karume ya kuua kila anayemuona ni tishio kwa uongozi wake. Na alipotambua aliacha utaratibu wa kuwarudisha watu Zanzibar, na kilipelekea mahusiano yao wasiwe mazuri mpaka kifo kilipomchukua Karume.
 
Ukweli ni ukweli! Huenda yapo ambayo Waasisi waliyafanya ambayo yameligharimu Taifa! Hata hivyo Waandishi hao wamekosa Uzalendo.
 
Ukweli ni ukweli! Huenda yapo ambayo Waasisi waliyafanya ambayo yameligharimu Taifa! Hata hivyo Waandishi hao wamekosa Uzalendo.
Sahihi. Kumbrand kiongozi ambae hatupo nae ambae historia yote imempambanua kama mwanamapinduzi binafsi naona sio sawa kuna lugha ya kukosoa ambayo haiudhi kumwita dikteta mwandishi kaenda maili nyingi sana kwa kweli.
 
Hatimiliki haizuii kunukuu sehemu ndogo kwa matumizi ambayo si ya kibiashara kqma kufundisha na majadiliano ya kijamii kama hapa.
Asante kwa kufahamisha nitaweka nukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…