Walioathiriwa na masturbation

Walioathiriwa na masturbation

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,219
Reaction score
380
WALIOATHIRIKA WA MASTURBATION TIBA YAKE:

Chagua utakayoiweza kuibeba kati ya zifuatazo:-

(a) Unga wa Parachichi vijiko vitatu vya chakula na unga wa kahawa kijiko kimoja cha chakula vichanganye pamoja kisha tia katika glasi ya maziwa moto koroga na uwe unakunywa glasi moja asubuhi na moja jioni muda wiki moja.

(b) Chukua vitunguu saumu vya kutosha uvitwange viwe laini kisha utengeneze juice yake halisi kisha uichemshe na uwe unakunywa nusu glasi 1x3 siku tatu.N.B: Juice usitie chochote.

(c) Muarovela utautengeneza juice yake halisi na kisha uwe unakunywa 1x2 tumia glasi muda siku 5.

(d) Twanga iliki upate unga laini unga huo upate vijiko vitatu vya chakula na asali safi vijiko vitatu vya chakula kisha changanya pamoja na uweunakula mchanganyiko huo 1x3 siku 5-7.

(e) Chukua tende safi na tengeneza juice yake halafu upate Habbat sauda unga.Matumizi yake kunywa glasi moja ya juice kwa vijiko vitatu vya Habbat sauda yaani uchanganye kwa muda wiki moja.

(f) Tengeneza juice halisi ya kitunguu maji upate lita 1 na asali safi lita 1 changanya pamoja kisha uchemshe na ikishaiva uwe unakunywa 1x2 tumia glasi muda wiki moja.

N.B: Dozi zote hizo tahadhari wagonjwa wa vidonda vya tumbo na kisukari wasitumie mpaka wajitibu maradhi kwanza.Ama waathirika wa mastubation wanatakiwa iwapo wanataka kujitibu waache kupiga punyeto, pia wajizuie na sexual intercourse mpaka wamalize dozi.
 
Back
Top Bottom