Mkiona mtu kaposti kitu kina matatizo badala ya kulalamikia ndani, flag the post.. kuna kialama cha (!) cha njano chini ya kila posti. Kwa kufanya hivyo mnawajulisha ma MoDs tatizo.
Nadhani tufanye kama mkuu M.M Mwanakijiji anavyosema maana mie mwisho jana nimeongea na maswahiba zangu tuliokuwa pamoja shule wapo wanapiga mzigo pale lakini walinihakikishia hali ni shwari na watu wamerudi kusoma kama kawa sasa inapokuja habari kama hii lazima tumdharau mtu bila kucomment kitu kisha ku report.