Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Baada ya mahakama kuita watu wenye ushahidi kuhusu tuhuma mbalimbali anazotuhumiwa nazo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya.
Bado mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza mahakamani kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na Sabaya, licha ya kwamba watu walitarajia wana chadema wengi wangemiminika mahakamani kujieleza namna walivyobakwa maana ndiyo wamekuwa vinara wa kuzusha tuhuma hizo.