Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Mmhh kwani kesi ya Rufaa ndiyo inayomfanya awe ndani brother?Acha uongo kesi ya ubakaji bado. Halafu kwa Sasa kesi yake ipo kwenye rufaa, kesinya Rufaa haina mashahidi. Mashahidi wapo kwenye trial.
Uongo una mwishoMbowe ameshindwa angalau kutengeneza mashahidi wa uongo? Asali ni mbaya sana
Kwani Mbowe ndiye aliyemfungulia mashtaka....?Mbowe ameshindwa angalau kutengeneza mashahidi wa uongo? Asali ni mbaya sana
Ndiye aliyeinjinia mashitaka yote dhidi yake. Hujasikia kwamba hata mwendesha mashitaka ni waporti kwa mbowe?Kwani Mbowe ndiye aliyemfungulia mashtaka....?
Wewe choqo kwani Mbowe ndiye DPP?Mbowe ameshindwa angalau kutengeneza mashahidi wa uongo? Asali ni mbaya sana
Kama namuona vile alivyolala 🤣Saa MBILI usiku mwenzio JENERALI LENGAI OLE SABAYA alishalala kitambo baada ya filimbi ya kulala kupulizwa saa 12 jioni,cha kushangaza wewe saa 2 usiku unahangaika JF kufungua nyuzi za Sabaya,khaaaa[emoji1787][emoji1787]
Mmhh kwani kesi ya Rufaa ndiyo inayomfanya awe ndani brother?
Ndiye aliyeinjinia mashitaka yote dhidi yake. Hujasikia kwamba hata mwendesha mashitaka ni waporti kwa mbowe?
Acha uongo bhana.....yaani Mbowe ndio kamtuma DPP...mbona alishindwa kuinjinia yeye mwenyewe asipewe kesi ya ugaidi ?Ndiye aliyeinjinia mashitaka yote dhidi yake. Hujasikia kwamba hata mwendesha mashitaka ni waporti kwa mbowe?
Hahaha mahakama inamsubiri kwa hamu ajieleze namna alivyokuwa anabinuliwa na Sabaya.Lissu yupo wapi ? kwenda kutoa ushahidi wa kubabwa
Dpp Kweka ni mchaga mwenye chuki na Sabaya.Acha uongo bhana.....yaani Mbowe ndio kamtuma DPP...mbona alishindwa kuinjinia yeye mwenyewe asipewe kesi ya ugaidi ?
....kadanganye watoto wadogo.
WEWE ULIJITOKEZA??