WALIOCHAGULIWA CoNAS UDSM

WALIOCHAGULIWA CoNAS UDSM

boxer

New Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
3
Reaction score
0
jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:
 
ko unawatisha au! acha mambo yako wewe!
 
jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:
acha kuwatisha madogo tatizo lenu hampendi kusoma alafu mnataka mpate mabanda hilo halitowezekana milele..na hakuna lisilowezekana kama ukipiga desa vizuri unatoka kama kawaida..mbona nasikia kuna wadada wako pale wanapiga mabanda tu tena hiyo zl kwanini madogo washindwe!
 
jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:

Tunakujaaaa...vipi kuhusu teaching staffs ukiachilia mbali masomo???
 
Conas,hawa huwa wana departmental GPA..wanadisco sana asee !
 
jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:

usiwa tishe madogo bana japo ni ukweli wanatakiwa wafahamu mapema mbna mi nasoma hiyo Zl na sijaacha boom?
japokuwa course ni ngumu lakin wth diligence unatoka mim sasa hivi tayar nshaweka chini
ZL121 and ZL 122 namwomba mungu na pia nawaombea wenzangu waliokamatwa ili wakienda kusupua wafaulu!!
 
Conas,hawa huwa wana departmental GPA..wanadisco sana asee !

Perry hebu nisaidie hapa kidogo...utaratibu unakuwaje pale faculty mpya inavyoanzishwa,nikimanisha utaratibu wa kuwapangia lecturers katika hiyo faculty...nauliza hivi coz nmetupwa petroleum chemistry ya CoNAS ambayo ni ngeni kabisa hapo udsm na TZ kwa ujumla
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom