jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:
usiwa tishe madogo bana japo ni ukweli wanatakiwa wafahamu mapema mbna mi nasoma hiyo Zl na sijaacha boom?
japokuwa course ni ngumu lakin wth diligence unatoka mim sasa hivi tayar nshaweka chini
ZL121 and ZL 122 namwomba mungu na pia nawaombea wenzangu waliokamatwa ili wakienda kusupua wafaulu!!