Waliochaguliwa course ya Bsc.Environmental science and management,,,chuo chochote usiache kupita hapa karibu nkueleweshe

Waliochaguliwa course ya Bsc.Environmental science and management,,,chuo chochote usiache kupita hapa karibu nkueleweshe

ALkemia

Member
Joined
Aug 26, 2017
Posts
26
Reaction score
11
Wale wote mliochaguliwa Bsc.ESM chuo chochote karibuni kwa maswali yoyote ,,,pia wadau ambao mpo karibuni tuwashauri vijana
 
Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana
 
Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana
Wanatumia ile ya main campus ya pale mazimbu hua ni kwaajili ya vifaa vichache ila wanatumia zaidi ile ya main campus
 
Back
Top Bottom