A ALkemia Member Joined Aug 26, 2017 Posts 26 Reaction score 11 Aug 24, 2021 #1 Wale wote mliochaguliwa Bsc.ESM chuo chochote karibuni kwa maswali yoyote ,,,pia wadau ambao mpo karibuni tuwashauri vijana
Wale wote mliochaguliwa Bsc.ESM chuo chochote karibuni kwa maswali yoyote ,,,pia wadau ambao mpo karibuni tuwashauri vijana
K Katukatu JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 359 Reaction score 613 Aug 25, 2021 #2 Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana
A ALkemia Member Joined Aug 26, 2017 Posts 26 Reaction score 11 Aug 25, 2021 Thread starter #3 Katukatu said: Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana Click to expand... Wanatumia ile ya main campus ya pale mazimbu hua ni kwaajili ya vifaa vichache ila wanatumia zaidi ile ya main campus
Katukatu said: Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana Click to expand... Wanatumia ile ya main campus ya pale mazimbu hua ni kwaajili ya vifaa vichache ila wanatumia zaidi ile ya main campus
Hassan malika Member Joined Oct 15, 2020 Posts 36 Reaction score 26 Aug 25, 2021 #4 Katukatu said: Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana Click to expand... SuA mbona Ina weather's station nyingi, Kuna ya main campus na ya Mazimbu mkuu
Katukatu said: Hivi wale wa sua ni wataalam kweli mbona weather station yao local sana Click to expand... SuA mbona Ina weather's station nyingi, Kuna ya main campus na ya Mazimbu mkuu
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Aug 25, 2021 #5 Vipi kozi ajira zake.. #MaendeleoHayanaChama
Hassan malika Member Joined Oct 15, 2020 Posts 36 Reaction score 26 Aug 26, 2021 #6 jiwe angavu said: Vipi kozi ajira zake.. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Hakuna kozi yenye ajira ya uhakika Hadi Sasa hivi Mkuu, usome ukiamini katika kujiajiri!
jiwe angavu said: Vipi kozi ajira zake.. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Hakuna kozi yenye ajira ya uhakika Hadi Sasa hivi Mkuu, usome ukiamini katika kujiajiri!
F fisadimpya Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 191 Reaction score 103 Aug 27, 2021 #7 Ina mkopo hii kozi?
Hassan malika Member Joined Oct 15, 2020 Posts 36 Reaction score 26 Aug 27, 2021 #8 fisadimpya said: Ina mkopo hii kozi? Click to expand... Yeah Ina mkopo Mkuu, hii Ni koz ya sayansi