dkashombo2013 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 539 Reaction score 119 Aug 18, 2013 #1 Habari wakuu,vipi hiki chuo mbona kimya kuhusu waliochaguliwa kujiunga na hiki chuo kwa program ya Customs and Tax Management inakuwaje hii iko sawa au ndo hivyo ukilinganisha na Tax Management za hivi vyuo vingine?
Habari wakuu,vipi hiki chuo mbona kimya kuhusu waliochaguliwa kujiunga na hiki chuo kwa program ya Customs and Tax Management inakuwaje hii iko sawa au ndo hivyo ukilinganisha na Tax Management za hivi vyuo vingine?