Waliochaguliwa kcmc soma..

DODOSO REFU

Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
12
Reaction score
0
Habari wana jf.Naamini kuna watu wamechaguliwa kcmc ila wakiangalia kwenye web ya chuo majina yao hawayaoni nami ni mmoja wao nilipowapigia simu tcu kujua kulikoni wakaniambia wameshawapa majina kcmc hivyo niwaulize kcmc,nami nikawapigia kcmc wakanijibu kuwa wangeeka mengine ijumaa asubuhi.Nashangaa mpaka leo kimya na chuo octoba 1.JE TUNAFANYAJE NDUGU ZANGU??
 

hebu jaribu kuwasiliana na kcmc leo maana tcu wana shughuli nyingi wanaweza kukudanganya ilimradi uachane nao waendelee na kazi zao za kiudhembe udhembe. Then give the feed back hapa jukwaani N:B Hakikisha hao kcmc wanakupa majibu halisi maana nao wazembe kwekweli ukiangalia update zao mwaka 2010 pufuu!!! Hizi system za wtz bhana.
 

tupo weng kaka xo wrynot kwan kila mtu anamrushia mpira mwenzake mara nenda kcmc ukawaulze mara nenda tcu . subr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…