Habari zenu wapendwa...
Baada ya grade mpya kuanzishwa mwaka 2014 vijana wengi walijikuta wakipata E kwenye masomo muhimu katika combination...mfano history na physics.Serikali haikutoa waraka rasmi kuhusu jinsi ya kuwachukua vijana hawa hivyo shule nyingi za private zikachukua vijana wenye grade E katika baadhi ya Masomo.Lakini mwaka huu waraka uliotolewa unapinga hiyo kitu na ukiangalia vijana sasa wapo kidato cha sita.
Je serikali haioni haja ya kutoa waraka mapema ili kuondoa sintofahamu?
Asanteni sana...