Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

Nani alikukataza kusoma ndugu. Si ndo wewe ulikuwa unawapiga walimu na kujiona mjanja pale mabinti wakikushangilia. Waache waliomudu mazingira na kujiona mafala kwa muda tu. We ujanja wako umekufanya hivyo ulivyo. Na uyaendelea kuvuta shisha na kinywa smart gin mpaka kifo
 


Tukiwaambia muitoe ccm hamsikii, haya sasa. Pp
 
Tanzania kuna tatizo la akili zilizofeli kuendelea kupewa kutekeleza majukumu makubwa yanayohitaji akili kubwa. Na hili halifanyiki kwa bahati mbaya lakini ni well coordinated ili kulinda ulaji wa watu ama kundi fulani.
 
Na Uongo wao unatunyima pesa sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣
Hatuko sirias kabisa. Bora wangezindua mfumo wa kukusanya maoni ambapo mtu mwenye maoni anaupload documents ya pdf kwenye mfumo wa kukusanya. Sasa unawaleta mapolofesa walewale walishindwa miaka yao yote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena mapolofesa toka jalalani 🤣🤣🤣
Hapo mabilioni ya hela yanaenda kupotea bure 🤣🤣🤣🤣
 
Ikitokea hamjaitwa kutoa maoni ndiyo mlalamike. Mnataka mshirikishwe kuandaa Mpango wa taifa kwa akili na mentality za kilalamishi? Kwa lishe ipi?
Kikubwa ni kwamba wale wote unaodhani wanastahili watafikiwa na kutoa maoni yao. Wakikataliwa ndipo mje mlalamike.
Mtu kama amejipambania hadi akaishi Masaki au Mbezi au kama amejikuta amezaliwa huko ana kosa gani?
Mbona nyie kwenye Majeshini mnaenda kwa wingi wenyewe hawalalamiki?
 
Pro-pesas kama wakina Mruma alafu tunataka tuendelee kama nchi!,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo list iko wapi?
 
Miaka yote mipango yao huishia ofisini kwao, sisi wananchi tunayo yetu ya unga robo na sukari robo huku mkate hukatwa kipande dukani, nao robo.
 
Unatubeza huku wewe ni jirani yetu.
 
Architecture wa mradi anakaa masaki Mbezi anaweka fence kwenye reli ili kutenganisha watu pande mbili wasiweze kuingiliana kama zamani wakitaka kuonana inabidi wazunguke kilometa tatu ajui effect ya mda na cost sababu ye anakaa masaki osterbay hayamuhusu.
Mfano watoto wa viongozi ingekuwa wanapanda daladala shida ya usafir kwa wanafunzi isingekuwepo nchini
 
Kama inawezekana hayo majina yawekwe apa tuyaone wengine habari za serikali hii tushaona ujinga ni mwingi hatuzifuatilii tena
 
Weka majina hapa tuwaone hao watu iwapo ni wa Mbezi Beach au Mbezi Kavu ya Kimara Kwa Msuguri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…