Mnamo tarehe 7 Julai, 2024 OR TAMISEMI waliweka taarifa kwenye tovuti yao kuhusiana na wanafunzi waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili.
Ndani ya taarifa yao kwenye tovuti kuna attachment ya excel iliyoandikwa kichwa cha habari "WANAFUNZI WALIOBADILISHIWA SHULE".
Ukiangalia majina ya shule na halmashauri zilizopo kuna makosa mengi sana.
Swali langu, OR TAMISEMI attachment ni wanafunzi waliobandilishiwa shule au waliochanguliwa awamu ya pili?
Huwa hakuna kuhariri taarifa kabla ya kuweka kwenye tovuti?
Source: Tovuti ya OR TAMISEMI