Waliochaguliwa kujiunga na udom hawa hapa

Waliochaguliwa kujiunga na udom hawa hapa

miradibubu

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
312
Reaction score
84
Samahani kwa wale watakaodhani nimeiweka hii mada sehemu isiyohusika. ukweli ni kwamba wingi wa wanafunzi elimu ya juu ndiyo kusogea kwa mazishi ya sisiem, uanaweza usielewe ninamaanisha nini. Siku ya mazishi ikiwadia utaelewa ninachosema. Angalia matokeo haya
 

Attachments

Thanks very much mkuu manake TCU inasumbua sana. kama inawezekana na vyuo vingine waweke basi vijana wanapata shida
 
Nashukuru Mkuu, ila sio vema kuilaumu serikali kwa kila kitu.
 
Asante. Kumbe na madaktari watazalishwa UDOM!
 
Back
Top Bottom