SAUT naona wameweka mambo hadharani ebu checki http://74.53.24.105/~saut/selectiontcu.php Ila ukienda TCU kwenyewe hola,sasa sijui SAUT wamepewa na nani?
Au ndo wanasubili magazeti yauze?
Sauti wameamua kutoendeshwa kisiasa. Wao wamesema watafungua mwanzoni mwa Octoba. Hivyo wametoa majina mapema ili wanafunzi waanze kujiandaa kwa ajili ya udahili.
orientation inaanza kwa 1st yr ila cha kushangaza ni kwamba hayo yametoka TCU na yamethibitishwa ila wao i.e TCU hakuna update yoyote na vyuo vingine vyote hakuna kitu.