Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.

Kinywele1

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Jaman naomba kama kuna mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiung na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA atuowekee hapa, Ombi itoe kwenye PDF ili tuweze kuifungua,
 
Asante mungu nimechaguliwa nachingwea,jamani matokeo ninayo ila nashindwa kuyatoa kwenye pdf kama hamtojali nipost hivyo hivyo au taja jina nikuangalizie!
 
Hongera saana ndugu,kasome kwa bidii
 
Napenda kukujulisha hilo jina halipo kwa maana hiyo utakuwa hujachaguliwa au jaribu kuvuta subira second selection hata hivyo muda wa kuripoti ilishapita tangu tar 25 mwezi huu
 
Naomba kuuliza kama wizara imeshatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya cheti ualimu daraja IIIA ,kwani niliomba.mwenye taarifa naomba anijuze tafadhari

bado, wametoa waliochaguliwa kujiunga na mafunzo maalum diploma,
 
Naombeni msaada wenu je majina ya waliochaguliwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada yameshatoka na kama bado yanaweza toka ln? Msaada wenu tafadhali...
 
utakaa xana..mdogo wang mwenyewe kaixha enda xhambaaa analima xo jipange?wk kexho labda
 
Naombeni msaada wenu je majina ya waliochaguliwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada yameshatoka na kama bado yanaweza toka ln? Msaada wenu tafadhali...

hata mimi pia ni mmoja wa waombaji, mm bado sjapata taarifa mpaka mda huu ila ukipata taarifa kuhusu waliochaguliwa ualimu stashahada 2014/2015 nijulishe.
 
Tujulishane mkuu yakitoka hapa jamvini petu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…