Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
vipi jamani? hata second selection hamjapata.
Kwanini huu ualimu?
 
ndo hvyo nimekosa ntmn bor hata nisingeomba vya ualimu

kweli kabisa.
Hapo wazazi watakuambia kuwa subiri ya ualimu.
usipokuwa makini utavunja mwaka hapo kwenu.
Mbaya zaid muda utakuwa umeenda na hata private hawatakupokea!
Take Care!
 
Jamani mnipostie na mm sijapata matokeo ya mdogo wangu hadi leo sijui chochote
 
Asante mungu nimechaguliwa nachingwea,jamani matokeo ninayo ila nashindwa kuyatoa kwenye pdf kama hamtojali nipost hivyo hivyo au taja jina nikuangalizie!
ndugu tuwekee link hiyo. kwa msaada tunakuomba
 
Ina maana waliopata div.4 32-34 hawata chaguliwa?
Halafu mbona wamesha anza kusoma ktk vyuo vya private? Inamaana watakosa ajira
 
Kwa hao watakao soma mafunzo rekebishi ngazi ya cheti watasoma miaka mingapi? Anae jua atujuze wakuu
 
Asante mungu nimechaguliwa nachingwea,jamani matokeo ninayo ila nashindwa kuyatoa kwenye pdf kama hamtojali nipost hivyo hivyo au taja jina nikuangalizie!
niangalizie Mussa rajabu kapongo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…