Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
ni kweli division 4 walio private hawatapata ajira ya serikali
 
nyie wanaJF acheni kudanganyana tusubir post ndzo zitaamua
 


jamani nchi yetu si munaijua? mwashangaa nini? , four wamechukulia lakini nahisi mbeleni huenda wakaapata shida kwa njia moja au nyingingine........,jambo hili ni kama serikali wamelifanya siri, lakini vyuo vina jua vizuri, wanaweza ,
wamejinyazia ili wapige pesa kwanza..............

mimi taarifa hizi nilizipata moja kwa moja kutoka kwa mkuu wa chuo tena akiwa analalamikia serikali,
akasema mbona serikali wanatuchanganya???????????????????labda lengo lao ni kuua vyuo vya private.
haya ni maneno ya mwalimu.
 
Nchi ina walimu elfu2 wa ziada wapeleke vyuoni wengine si kuliletea taifa umaskini kwa kulipa mishahara
 

unaposema wapige pesa kwanza unamaanisha private au serikali.
 

huyo mwanao yeye ana divishen gan? Na huko private umempeleka akasomee ualimu ama vp? Na wewe unamamlaka gani ya kuwaambia serikali eti wasichukue divishen four kisa mwanao umempeleka private? Hacha wivu wa maendeleo tena ukitaka ubaya na watu zuia maendeleo katika suala la elimu.Jishangae mtu mzima kama wewe mwenye mtoto.
 
habari za kuaminika,division 4 hawatachaguliwa,hakuna cha bridging course,inservice teachers wa primary wamepata fursa ya kusoma diploma ambayo itawasaidia kujiunga na degree na kwendelea,

We ukisoma tangazo la wizara ya elimu katika ualimu utatulia,utaacha kupayukapayuka.
 

mwanangu ana 3 ana alichaguliwa kwenda form five, kama familia tukaamua bora aende ualimu, 3 yake ni arts
nadhani ndiyo maana hakupata miongoni mwa wale waliochaguliwa kwenda monnduli,,

mimi sijaiambia serikali wachukue hao wa d 4 , wala sina mamulaka hayo, ........huu ni mpango wa serikali
kumbuka mbali na mwanangu nina ndugu zangu wengine wenye D4 ambao wamevujika moyo kwa taarifa hii.
.........Ni mppumbavu tu anayeweza kufurahia mabadiliko haya.
 
We ukisoma tangazo la wizara ya elimu katika ualimu utatulia,utaacha kupayukapayuka.

kijana iko hivi waliomba ualimu division 3 wametosheleza mahitaji ya wizara,mwanzo wizara ilihisi haitapata division 3
 

jaribu kuipitia post yako ya awali uone ulivyoandika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…