muda mrefu sana toka tutume maombi ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada, ajira ya ualimu kwa ngazi hizo ndiyo kimbilio la wengi hasa watoto wa wakulima kama mimi wasio na uwezo wa kumudu gharama za chuo kikuu, nasikitika sana kuona wizara imeamua kufunga kabisa blog yao ya moe
Sasa sijajua kwanin maana wengine wanasema wanapakia majina hayo, tafadhari wizara tuoneeni huruma watoto wa wakulima tufungulieni blog ikiwa na majina, tumemisi kwenda shule,maisha ya mtaa yametuchosha na yametubamiza vya kutosha,chonde!chonde! wizara