waliochaguliwa kwenye vyuo zaidi ya kimoja wafanye nini?

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
42
kuna haja ya kufanya mabadiliko tcu kama umechaguliwa kwny vyuo viwili tofauti?
 
kuna haja ya kufanya mabadiliko tcu kama umechaguliwa kwny vyuo viwili tofauti?

watumie email au nenda ofisi zao utoe taarifa unataka chuo gani kati ya hvyo.
Usipofanya hvyo watakupangia chochote kati ya hvyo viwili.
 
ok ahsante mkuu..ila bhado changamoto iko pale pale,ujue kuna watu wameapply vyuo hawajui chochote kuhusu internet,na wapo hko vijijini mbali huko
 
kaka nipe link ya kuona names za walopata sehemu mbili tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…