Waliochaguliwa makita high school.. Uliza chochote hapa..

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Shule ipo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, ina o-level(boyz&girls) A-level(boyz) shule ipo mtaa wa Uzunguni, ina bweni(kwa A-level tu), walimu wapowapo na mazingira ni mazuri kujisomea.. Nimemaliza pale form4 mwaka 2012.. Karibu.
 
inaonyesha waziwazi kwa a.level ni shule mpyaa
 
aaahaah!!' sisi ndo waanzilish wa iyo shule kw wanafnz wa serkal mwka 2005!!!.Ni shule nzur kwasasa japo enz zetu ukahaba ulichafua jna la shule.Advanc wanafany vzr kuliko olevel.
 
aaahaah!!' sisi ndo waanzilish wa iyo shule kw wanafnz wa serkal mwka 2005!!!.Ni shule nzur kwasasa japo enz zetu ukahaba ulichafua jna la shule.Advanc wanafany vzr kuliko olevel.

uko sahihi kabisa kaka. Lakini hzo tabia chafuchafu zilikuwa enzi hizo.. Umesoma na kna_Benson Mwinuka, Kasian, January Kaliro(my brother), etc
 
yap dogo wngu! japo jaka aliama.Na 2mekutana tena UDSM sote mwnuka,jaka na lelu
 
Hiv iyo shule a level kuna bwen kwel maana nimeona sehemu nyingine wameandika ni ya kutwa alaf mm nina ishi dar es salaam
 
Wakuu naomba mnisaidie kwa yoyote anayeifahamu join instruction ya Muyovozi high school naomba anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…