waliochaguliwa medicine mpo?

kwa wale wote waliomaliza mwaka 2014 na kupata post kwenye kitengo cha medicine, kama una info zozote kuhusu huvi vyuo naomba unijuze:
hubert kairuki memorial na kcmc...

What is special with these colleges?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…