jusper ochieng
Member
- Jun 17, 2014
- 47
- 7
Habarini wanajopo mliochaguliwa kujiunga na chuo cha mkwawa.... taadhari ninayowapa ni kua usisahau kuja na boooonge la blanketi coz huku ni full baridi..... tena ndani ya chuo kuna baridi sana coz chuo kimezungukwa na milima, usisahau kuja na sweta ikiwezekana njoo na jaket ya lasket.
Usisahau kuja na mwamvuli coz msimu wa mvua ndo inaanza mwezi wa kumi, japokua kutakua na mvua sanaaa ila hakuna ulazima wa kuja na shamba boot.
Kwa wale mnaopenda mashati mikono mifupi inabidi muanze kuzoea ile ya mikono mirefu.
Nilitaka kusahau jambo, pia msisahau kuja na mosquito net coz huku mvua zikianza mbu hua wanakuwa wengi sana.
Msiogope mazingira ya iringa kwani pia kuna mazuri sana mgano huku kuna matunda kwa wingi sana ndizi za kumwaga, mboga za majani ndiyo usiseme bila kusahau mahindi ya kuchoma hata ya kupika.
Kwa wale wanaotaka kupanga geto chumba kwa mwezi ni.kati ya sh elf40 had elf45..... ila vipo vingine ambavyo havina badhi ya kukaa mwanachuo... hzo utapata kwa sh elf25 hadi 35 hv.
KAMA UNA SWALI.LOLOTE LILE KUHUSU MUCE USIITE KUNIULIZA..