Waliochaguliwa MUCE

Joined
Jun 17, 2014
Posts
47
Reaction score
7
Habarini wanajopo mliochaguliwa kujiunga na chuo cha mkwawa.... taadhari ninayowapa ni kua usisahau kuja na boooonge la blanketi coz huku ni full baridi..... tena ndani ya chuo kuna baridi sana coz chuo kimezungukwa na milima, usisahau kuja na sweta ikiwezekana njoo na jaket ya lasket.

Usisahau kuja na mwamvuli coz msimu wa mvua ndo inaanza mwezi wa kumi, japokua kutakua na mvua sanaaa ila hakuna ulazima wa kuja na shamba boot.

Kwa wale mnaopenda mashati mikono mifupi inabidi muanze kuzoea ile ya mikono mirefu.
Nilitaka kusahau jambo, pia msisahau kuja na mosquito net coz huku mvua zikianza mbu hua wanakuwa wengi sana.

Msiogope mazingira ya iringa kwani pia kuna mazuri sana mgano huku kuna matunda kwa wingi sana ndizi za kumwaga, mboga za majani ndiyo usiseme bila kusahau mahindi ya kuchoma hata ya kupika.

Kwa wale wanaotaka kupanga geto chumba kwa mwezi ni.kati ya sh elf40 had elf45..... ila vipo vingine ambavyo havina badhi ya kukaa mwanachuo... hzo utapata kwa sh elf25 hadi 35 hv.

KAMA UNA SWALI.LOLOTE LILE KUHUSU MUCE USIITE KUNIULIZA..
 
 
Hapa hakuna masters..... ukitaka masters ni hadi main campus mlimani... geniusbaraka
 
Last edited by a moderator:
Katika kubadili cozi hapa mkwawa hawasumbui ila tu uwe na vigezo vitakavyokuruhusu kusoma hyo cozi unayotak kubadili... Mniwe jr
 
Last edited by a moderator:
Ahahaaaahaaaahaa nonaogopa kuwapa watu taarifa za uongo.... so nina uhakika wa ninachokisema..... mbona mtu wa marekani anaijua tz kuliko ww unavyoijua japokua unakaa tz...... M2flan
 
Last edited by a moderator:
Katika kubadili cozi hapa mkwawa hawasumbui ila tu uwe na vigezo vitakavyokuruhusu kusoma hyo cozi unayotak kubadili... Mniwe jr

Ahsante mkuu.
Mimi nimepata c,b,c kwa masomo ya fizikia,kemia na biologia kwa mfuatano,na bam d,g.s c
Sasa nilikua nataka kusoma bachelor of science with education vipi kwa ufaulu huo watakubali kunibadirisha kutoka bachelor of education in science
 
Last edited by a moderator:
Masters bado ila kuna Post graduate Diploma
 
Mkuu vipi kuhusu kubadili program.hawasumbui hapo chuoni
Jamani kama umechaguliwa MUCE jipange kipiga msuli make ni xheeeda. saa nane ucku watu wanapixhana bungen. wale wa coz ya history kuna ticha mmoja anaitwa ombol na kajicho lazima axhike mtu aisee
 
Mkuu naskia msuli wa hapo kitoto kama kunywa kiroba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…