Tetesi: Waliochaguliwa na NACTE kujiunga na vyuo mbali mbali

QT Jay

Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
49
Reaction score
25

Habari Wakuu na wenyeji wa humu, Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu awali ya yote.
pili naomba kufahamishwa kwa anaetambua kuhusu hawa Jamaa NACTE je wamekwisha kufanya selection? ama bado? maana naona kimya nisije kuwa nasubiri kumbe walishatoa zamanii, na kama hawajatoa lini inakadiriwa watatoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…