Hawa Mzumbe naona wako kama TCU tu: wanapenda mavuno lakini kuhangaikia kilimo hawataki. Vyuo vingine baada ya kuona jinsi TCU walivyo wazembe angalao wamejitahidi kutoa majina ya wanafunzi wao lakini Mzumbe ofisi ya Admissions naona wameenda kunywa komoni kwa Waluguru na hadi sasa hawajarudi ofisini.