Waliochaguliwa sua kama unatatizo au unahitaji msaada basi karibu

Waliochaguliwa sua kama unatatizo au unahitaji msaada basi karibu

Abbylicious91

Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu. Wale mliochaguliwa SUA kwanza napenda kuwapongeza kwa kuchaguliwa SUA na pia napenda kuwakaribisha SUA. Kama mnamatatizo au mnahitaji kujua kitu usisite kuniinbox na nitaangalia jinsi ya kukusaidia. Hasa wale wa Campus ya Mazimbu na course ya B.Sc in Agricultural Economics and Agribusiness (AEA). Karibuni SUA na msihofu
 
Back
Top Bottom