Habari zenu. Wale mliochaguliwa SUA kwanza napenda kuwapongeza kwa kuchaguliwa SUA na pia napenda kuwakaribisha SUA. Kama mnamatatizo au mnahitaji kujua kitu usisite kuniinbox na nitaangalia jinsi ya kukusaidia. Hasa wale wa Campus ya Mazimbu na course ya B.Sc in Agricultural Economics and Agribusiness (AEA). Karibuni SUA na msihofu