Waliochaguliwa UDSM undergraduate

kwa anaeweza kunichekia hz namba plz nisaidieni

S3670/0049/2010 baltazar helman
S1220/0182/2010 rajab gassa
 

thanks mkuu ndo ivyo.
 
Jaman Cjaona Uzi Kuhuxu IFM kama wamerelease..Wakuu!
 
amechaguliwa course ambayo hakuiomba. Je anaweza ibadili..alitaka kwenda BCOM account, na alikuwa na point 6.5
 

shwal mkuu,,twenzetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,,,,
 
mbwembwe nyingi,nikajua injinia kumbe ngwini tena SI HASA duh...kaka kaza uzi kozi majanga izo futureless komaa usiweke jembe kando kama mtoto wa maskini kama mimi,ila kama mshua anasomeka then big up sana utatoka kibingwa...mkandala lazima akuheshmu upo kozi yake PSPA
 
Duuh...heshima kwa LLB, maana cut off point ni 6.5 which suggests hawataki vilaza huko
 
Fresh blaza. Lakin mbona inaendana? majina ya waliochaguliwa chuo kikuu cha daslam yameshatoka. au sijakuelewa vzur bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…