Waliochaguliwa UDSM undergraduate


ndio maana nimegalagazwa DUCE
 
Nashukuru sn wajumbe wa jf sina chakuwapa Ila mungu ndio atawalipa tuendelee na mshikamano huu tuzidi kupeana update na kuelekezana vya msingi tukikwazana tusameeane, nimechaguliwa udsm. Thanks soooo muuuch.
Umechaguliwa kozi gani UDSM hapo maana hiyo ndio itakayokufanya upige michakato huku kitaa na wala si jina la chuo kama wajinga wengi wanavyofikiri
 
Vp wakubwa...naomba kuuliza, hizo joining instruction tunazifata kabla ya hiyo tar 12 au tutazchukua cku hiyo hiyo tukiwasili???
 
Wakuu naomba mnisaidie kuangalia jina langu (Innocent Kembo) kama ipo kwenye chuo chochote kati ya IFM, Tumaini makumira, Stefano Moshi memorial... Plz nisaidieni
 
Msaada kakaz na dadaz niangalizien jna lang NELSON ITALANGE PETER(Bachelor of art wth eductn udsm)
 
Wakuu msaada kwa mwenye majina ayaweke maana wengine simu zetu hazina uwezo wa kusoma pdf
 
naomba msaada huyu mtu,VERDIANA LEONARD NDAMGOBA kachaguliwa udsm facult gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…