Baba Collin JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 456 Reaction score 58 Aug 1, 2012 #1 Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Aug 1, 2012 #2 idadi ni ndogo sana ama? Kwani unajua ni watu wangapi waliomba na wangapi wamekosa?
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Aug 1, 2012 #3 Watu tumeomba degree bhana
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Aug 1, 2012 #4 inamaana watu 3677 ni kidogo? Kwani kawaida ni watu wangapi? Je,kama watu hawakuomba unategemea nini?
inamaana watu 3677 ni kidogo? Kwani kawaida ni watu wangapi? Je,kama watu hawakuomba unategemea nini?
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Aug 1, 2012 #5 NingaR said: Watu tumeomba degree bhana Click to expand... kaka siunajua tcu kigeugeu? Mara leo eligible,kesho not eligible,keshokutwa ..... Yaani mambo mengi. Wengine tunaangalia alternative way.
NingaR said: Watu tumeomba degree bhana Click to expand... kaka siunajua tcu kigeugeu? Mara leo eligible,kesho not eligible,keshokutwa ..... Yaani mambo mengi. Wengine tunaangalia alternative way.
S Sir M.D.Andrew JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 201 Reaction score 37 Aug 1, 2012 #6 Nisaidieni jamani kwa mwenye majina haya ya diploma anisaidie,hayafunguki jamani angalia panda lucas na maige jeja kama wapo na vyuo walivyochaguliwa
Nisaidieni jamani kwa mwenye majina haya ya diploma anisaidie,hayafunguki jamani angalia panda lucas na maige jeja kama wapo na vyuo walivyochaguliwa
A Apex JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 425 Reaction score 61 Aug 1, 2012 #7 Mwenzako akinyolewa zako tia maji,wakubwa 2lioomba undergraduate kazi kweli kweli,selection za diploma ndo hizo hapo so any time T kitu kinanuka,in GOD we trust.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji,wakubwa 2lioomba undergraduate kazi kweli kweli,selection za diploma ndo hizo hapo so any time T kitu kinanuka,in GOD we trust.