Inategemea na font type, kama ni mjuzi pengine ungehoji hiliMaandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake.
Unateseka sana. Kwani huyo aliyepewa T-shirt anasemaje? Ameikataa au?Maandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake.
Tafadhali tafuteni artists wa maandishi sio kila mtu anaweza kufanya vitu hivi.
Hata nguo ulimpa designer lazima ashirikishe wataalam wa maandishi na picha kama zipo kuviweka sawa.
Maandishi kama ubao wa ujugu arena kwenye jezi!
Mi mwenyewe nimeshangaa, hadi hili ni la kukosoa?Ila wabongo jamani dah
Mnajua kukosoa asee
Ndo tulivyo wabongo, yaan Jamaa ñi MTz haswaa. Hatukosagi kulaumu ama kukosoa!Mi mwenyewe nimeshangaa, hadi hili ni la kukosoa?