Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba.
Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali.
Chadema tangazeni kuwarudisha wote watakaopenda kujiunga tena na chadema kupitia matawi yao. Msifanye kosa la kuwazuia.