Umeona mwanamke mwenzioAiseeeeeee
Kwahyo Macron ni mzibua mitaro mzuri.Wakuu,
Mbona hii theory kama inaanza ku-make sense wakuu
Naanza kuamini huyu mke wa Macron kweli ni mwanaume
Mahakama ya Rufaa ya Ufaransa imebatilisha hukumu dhidi ya wanawake wawili waliohukumiwa kwa kumkashifu mke wa Rais wa Ufaransa Brigitte Macron, baada ya kueneza madai ya uwongo kwamba alizaliwa akiwa mwanaume.
Taarifa za uongo kuhusiana na jinsia ya Brigitte zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kwa miaka kadhaa, huku akishambuliwa kutokana na tofauti ya umri kati yake na mumewe. Brigitte(72) amemzidi miaka 24 Rais Emmanuel Macron(47).
Wanawake hao walihukumiwa na mahakama ya chini mwezi, 2024 kumlipa Brigitte fidia ya yuro 8,000, na yuro 5,000 kwa kaka yake aliyehusishwa kwenye kashfa hiyo.
Lakini Mahakama ya Rufaa ya Paris leo Alhamisi imewaachilia huru ikiwa ni pamoja na madai yaliyotolewa na wanawake hao waliosema Brigitte "analea mtoto", ikisema walifanya makosa hayo kwa "nia njema", ingawa haikutoa maelezo zaidi.
Brigitte Macron aliwasilisha malalamiko ya kashfa dhidi ya hao wanawake wawili waliochapisha video kwenye mtandao wa YouTube Desemba 2021, wakidai kuwa aliwahi kuwa mwanaume aliyeitwa Jean-Michel.
=======================
Two women, Amandine Roy and Natacha Rey, convicted of defaming French first lady Brigitte Macron by saying she was ‘born a man’ were cleared on charges. A Paris Appeal Court on Thursday ruled that the clairvoyant and blogger had ‘every right’ to make the allegation. The ruling has further fueled the conspiracy theory about French President Emmanuel Macron's wife.
Roy, 53, and Rey, 49, had claimed they were subjected to ‘intimidation’ by authorities as ‘ultra protected’ members tried to cover up a ‘state secret’. Claims about the 72-year-old first lady, whose maiden name is Trogneux, was born ‘a man’ and was named Jean-Michel Trogneux surfaced. She does have a brother - Jean-Michel.
Source: Hindustan Times
Hata mimi nilipo muona kwa mara ya kwanza alionekana ana sura ya kiume, sijui kama hata mumewe ni straight, I might be wrong - lakini bado naamini kwamba huyo simwanamke!!!Wakuu,

Hivi Elton John anaendeleaje na ile ndoa yake na yule kibenten chake.Kwahyo Macron ni mzibua mitaro mzuri.
Maana kama alibadili jinsia basi kuna jambo lilimvutia au hakubadili ila anaishi kama Elton John.