Hamna kazi watafanya hilo ni tusi wameamua kuwatukana kuwa serikali yenu ni dhaifu hata kwenye mifumo ya kawaida kabisa. Poor country😀Ma IT wana kazi huko wizarani leo dadek ni mwendo wa back door to back door
Wakiingia na wanaijeria itabidi tuombe msaadaHackers kutoka kenya sio watu wazuri wataisumbua sana hii nchi.
kwani hakuna namna ya kuwabaini wakale kibano huko huko waliko?Hackers kutoka kenya sio watu wazuri wataisumbua sana hii nchi.
Daaah kweli mkuu an mpaka inatokea daah ni wapo very weak maana hyo process mpaka mtu ana dukua mfumo daaahHamna kazi watafanya hilo ni tusi wameamua kuwatukana kuwa serikali yenu ni dhaifu hata kwenye mifumo ya kawaida kabisa. Poor country😀