Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukipata mchumi wa ukweli akupigie mahesabu ya lost productivity, lost fuel, lost time etc na kukupa impact kwenye pato la taifa hapo unaqeza kulia.
Kuna kimchepuko kama unatoka Tegeta, badala ya kupitia Tangi bovu, unakunja kona barabara ya kwenda Africana unaenda upande wa baharini, mpaka mbele kwenye roundabout, unakuja kuunganisha mpaka unatokea Old Bagamoyo Road bila ya kupitia bonde la Tangi Bovu. Barabara hii imekuwa popular sana kuepuka foleni.

Yaaah tupo pamoja Mkuu .... Na hiyo ndio njia maarufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa ....!!! Nilifikiri mnazungumzia hii ya kupita mbezi chini halafu unakata kwa Mwamunyange bila ya kupitia Africana...!!!!!!!!!!
apart from those stories, the fact is, wema sepetu played a major role in maintaining kajalas name to stay alive.
Oya huyu warumi amekufa au?Ramsey noah?
Hutaki sasaOya huyu warumi amekufa au?