Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Huu upuuzi embu tuacheni kidogoMkoa wa Songwe - CCM imeshinda majimbo yote
Walioshinda ni
Philipo Mulugo (Songwe)
Japhet Hasunga (Vwawa)
Onesmo Mkondya (Mbozi)
David Silinde (Tunduma)
Kondesta Sichalwe (Momba)
Godfrey Kasekenya (Ileje)
Mkoa wa Mara - CCM iimeshinda majimbo yote
Mgore Miraji (Musoma Vijijini)
Mary Daniel (Serengeti)
Ester Bulaya (Bunda Mjini)
Jafari Chege (Rorya)
Profesa Sospeter Muhongo ( Musoma Vijijini)
Kuweka kumbukumbu sawa tu MkuuHuu upuuzi embu tuacheni kidogo
Walikuwa wanashindana nani ???
Kwanza hili jukwaa si mmeshalifungia mnakuja huku kufanya Nini ?
Ilikuwa error mkuuJerry Silaa tena na mlisema alipigwa chini? i hate lies
SahihiSegerea si walisema imeshinda chaumma?
Kigoma kaskazini - Kiza Mayeye ACTUkonga, Nkasi kaskazini, Tunduru na kuna jimbo lingine ni ACT Wazalendo