Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mchakato ulishaisha. Na wananchi kama 30 wameshaajiriwa na mikataba wamesaini, training fupi ya kuanzia kazi wameshafanyiwa na wako field wanadunda mzigo. Kama ulifanya vizuri ujue kwamba nafasi zilikuwa chache kuliko watu kwa hiyo hukufanikiwa.