Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.

Baaangi baaaangi bangi tupu huyu hana maana wala lolote zaidi ya kutafuta sifa.
kuna kundi la wanajamii limejiandaa kuishitaki serikali kwa kushindwa kuzuia migomo ya madaktari mara tatu na kuwaacha wananchi wakiteseka.pia kundi hilo litafungua mashtaka dhidi ya serikali kwa kushindwa kuweka vifaa vya tiba mahospitalini na hivyo kupelekea mauti kwa maelfu ya watanzania.kundi hili limesikika likihamaki kwa nini tunalipa kodi wakati huduma za afya ni mbovu huku viongozi wakinunua mashangingi badala ya ct scan?
KAZI IPO!
Source;mimi mwenyewe.