Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.
Join Date : 14th August 2012
Posts : 7
Rep Power : 302
Likes Received1
Likes Given0
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.
ni upepo tu utapita alishatahadharisha mh pinda
Safi wapelekwe wote mahakamani na wafungwe kwa ubinafsi na tamaa na uroho
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.
Kweli kabisa wanahaki ya kufanya hivyo kwa sababu mahakama ilikuwa tayari imezuia mgomo huo, hivyo ulikuwa batili. Nadhani mnakumbuka chama cha walimu kilivyoambiwa pia?
Mi nina wasiwasi na chama cha madaktari na hiki cha walimu kama wanatumia wanasheria makini, wasije kuwa viongozi wao wanawaingiza mkenge!
tuishtaki serikali kwa vifo vyote vilivyotokea kwa kukosa dawa na ct scanner.
tuwashtaki wote,serikali na madaktari mana wote hawa wanajukumu la kumhudumia mtanzania maskini na mlipa kodi lakini wanampuuza.halafu sio wagonjwa wote wanahitaji st scan
Kweli kabisa wanahaki ya kufanya hivyo kwa sababu mahakama ilikuwa tayari imezuia mgomo huo, hivyo ulikuwa batili. Nadhani mnakumbuka chama cha walimu kilivyoambiwa pia?
Mi nina wasiwasi na chama cha madaktari na hiki cha walimu kama wanatumia wanasheria makini, wasije kuwa viongozi wao wanawaingiza mkenge!
Naunga mkono hoja na ingewezekana huyo Ulimboka atekwe tena na kuuwawa ili kufidia wale waliopoteza ndugu zao wakati wa UJINGA wake yeye na WENZAKE