Hapana ..... sio vijembe....unisamehe...... ila kila mtu anafahamu kuwa mgomo ule haukuandaliwa na chama chochote cha madaktari bali 'jumuiya'' yao ambayo kisheria haipo.......hivo ukitaka kushitaki wa kushtakiwa ni serikali kwa kushindwa kutoa huduma......maji yasipotoka bombani wa kushitaki ni DAWASCO na si yule fundi bomba hata kama kagoma!!