Waliofukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi

Waliofukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi

Joined
May 12, 2009
Posts
25
Reaction score
35
Habari,

Kuna watumishi wa umma ambao walifukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi na kupelekekwa magerezani, mara baada ya kufutwa kwa kesi hizo nini hatma yao ya kiutumishi? Msaada kwa wajuao.
 
Uhujumu uchumi, utakatishaji fedha watu walipoteana sana makazini.
 
Msaada kwa anayejua taratibu za kisheria ili muhusika apate haki zake
 
Back
Top Bottom