ABDALLAH AMOUR Member Joined May 12, 2009 Posts 25 Reaction score 35 Dec 1, 2022 #1 Habari, Kuna watumishi wa umma ambao walifukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi na kupelekekwa magerezani, mara baada ya kufutwa kwa kesi hizo nini hatma yao ya kiutumishi? Msaada kwa wajuao.
Habari, Kuna watumishi wa umma ambao walifukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi na kupelekekwa magerezani, mara baada ya kufutwa kwa kesi hizo nini hatma yao ya kiutumishi? Msaada kwa wajuao.
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Dec 2, 2022 #2 A bad situation ever.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Dec 2, 2022 #3 Uhujumu uchumi, utakatishaji fedha watu walipoteana sana makazini.
ABDALLAH AMOUR Member Joined May 12, 2009 Posts 25 Reaction score 35 Mar 5, 2025 Thread starter #4 Msaada kwa anayejua taratibu za kisheria ili muhusika apate haki zake