Waliofunga Ramadhani/Pasaka Kisha wakaanza kufungua zipu walijishinindisha njaa, jehamu ipo pale pale

Waliofunga Ramadhani/Pasaka Kisha wakaanza kufungua zipu walijishinindisha njaa, jehamu ipo pale pale

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Watu wote waliofunga Ramadhani na Pasaka Kisha walipofungua tu wakawekeza kufungua zipu, kulewa, kutenda matendo yasiyompendeza MUNGU naaomba kuwakumbusha kwamba mpijishindisha njaa. Endapo tu mngenyakuiwa mkiwa wenye Fung a mngeweza kwenda Mbinguni. Lakini rehema mliyopewa ya kuwepo hai Hadi mwisho wa funga inakufanya utambue kwamba jehanamu inakusubiri.

Hakuna MUNGU wa msimu kwamba ni WA ramadhani au pasaka; MUNGU yupo hai wakati wote na Hana muda na makundi ana muda na nafsi Moja Moja. Endapo uliiweka Imani Yako kwamba wakifunga walio wa MUNGU basi nawewe ushinde njaa umepotoka. Kufunga siyo kusubiri Watu wafunge au kusubiri kalenda ya dini; funga sahihi ni Ile isiyozingatia Ramadhani Wala Pasaka.

Maisha Yetu siyo Ramadhani Wala Pasaka, maisha Yetu ni usafi wa wakati wote tukisubiri mwisho mwema. Zini utakavyo, Leo utakavyo na sherekea pasaka na Ramadhani kinyume na matakwa ya MUNGU uidhani utasamehewa kwa kujinyima kula. You are totally wrong.

Nimetoa wito huu kuwakumbusha wale waliofungulia dhambi kwamba walijipa siku 30 za kushinda njaaa siyo kufunga. Tusifuate mjumbe; tufuate maelekezo ya MUNGU.

Narudia; MUNGU wa wakristo na Waislamu alaghaiwi na kushinda njaa kwamba umepata mateso, anapokea Toba na maisha yakumpendeza kipindi chote Cha uhai wako.
 
Leo ukipita kumbi za starehe kina Sheikh Juma wamevaa kapelo na pensi huku mkononi wameshika safari kama sio wale ambao mpaka jana walikuwa wanavaa kanzu na barakashia, mkononi wakiwa na tasbihi.
 
Hizi 70 mra 70 ni ngapi? Sii inamaanisha atasanisamehe tuu ata kama nikiridia uzinzi alafu nikaomba msamaa mpaka mara zote hizo au mie ndio sielewi huku kusamehewa
 
Back
Top Bottom