Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
mishahara halali yao wameitumikia japo wamefoji vyeti... maana hata bashittt ameambiwa achape kazi japo amechakachua makaratasi ya waliosoma kiukweliWadau nadhani wale wote wataothibitika wamegushi Vyeti huenda wakashtakiwa Kwa makosa 3.
Kugushi cheti
Kutoa taarifa za uongo Kwa mwajiri
Kujipatia mishahara.
Tunawatakia kila la Heri hao walioamua kugushi vyeti
Daudi Albert Bashite..
Mhalifu wa Taaluma na Jizi la Vyeti.