mwananchi ya leo ijumaa januari 6 2012 page za kati.
hongereni, sijui siye maafisa ugavi zamu yetu lini?
..mwenye majina hayo tunayaomba maana nimechek kwenye web yao cjayaona!
usihukumu nawe hutaghukumiwa,nasema hivii si bado upo chuo.....ni UTALIA NA KUSAGA MENO.nyie sahauni.
ndugu zangu walimu zao zinatoka lini?
Kwani SUA wanatoa Astashahada na Stashahada? Nafikiri sivyo!!!!!Hapa hapa ndiyo huwa graduates wa SUA wanajibebea ushindi wa mezani!Nadhani so far ni chuo kikuu pekee kinachotoa shahada zinazokidhi mahitaji ya kazi hizo za wizara ya kilimo.Hongereni mliopata kazi tunategemea mabadiliko ya kweli ya kilimo kutoka kwenu siyo siasa iliyopo sasa hivi!