University_Promo JF-Expert Member Joined Sep 29, 2018 Posts 749 Reaction score 661 May 5, 2019 #21 Wanzanzibari wapewe nchi yao.Sisi watanganyika kazi yakung'ang'ania nchi za watu tu.Tuache ukoloni.
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 May 5, 2019 #22 Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Nimecheka kidogo
Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Nimecheka kidogo
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,013 May 5, 2019 #23 Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Case utaendelea na serikali ya muungano lazima italazimika itoe muakilishi wa Tanganyika, sijui watafanyeje
Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Case utaendelea na serikali ya muungano lazima italazimika itoe muakilishi wa Tanganyika, sijui watafanyeje
I Ijura JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 359 Reaction score 298 May 5, 2019 #24 Ilunga Allah amfanyie wepesi
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,013 Oct 30, 2019 #25 Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Mtaifufua mlipo izika
Adilinanduguze said: Serikali ya Muungano sio Tanganyika Wakikataa Mahakamani kwamba wao sio Tanganyika ? Click to expand... Mtaifufua mlipo izika