Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Ok, asante.I had a S. African classmate alikua anaitwa Siposethu . Jina lake kwa ufupi "Sipho" maana yake Gift (Zawadi) ama kitu kama hicho....watakuja wengine kukujuza zaidi.
Sory mkuu, simu ilikua inazingua mishowe nikajikuta nimetuma nyingiii kasheshe kuzitoa sasa! Mnisamehe bure.Sasa kwanini umeduplicate post namna hii?
Wakuu habari, natumai mu wazima usiku huu mkiwa mmejipumzisha baada ya pilika za mchana,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu naomba kwa wale walioishi South na wale ambao bado wapo kule south najua wamo humu, naomba kueleweshwa maana ya jina linaloitwa "SIPHO" maana kuna watu wanaitwa sipho ni wasouth, mfano sipho makabane, sipho mabuse etc, jamani mtudadavulie maana ya hilo jina, nakaribisha wataalam wa lugha ya kizuru.
Mh, sijui.Kuna mmoja anaitwa Sipho Mavuzi huyu sijui kama akija Tanzania Waandishi wa Habari wanaweza kumtaja Kikamilifu katika taarifa zao mbalimbali.
hahahahahahhaaha mkuu umeniuaa πππKuna mmoja anaitwa Sipho Mavuzi huyu sijui kama akija Tanzania Waandishi wa Habari wanaweza kumtaja Kikamilifu katika taarifa zao mbalimbali.
Inamaana humu hakuna wanaojua kisouth, kizulu jamani??
Mimi nauliza maana ya jina SIPHO hilo la mwisho sijauliza ila kwenye uzi nimeweka majina ya mwisho kama mfano tu, ili watu waweze kuelewa mapema.Kama ukimpata au akitoke tafadhali usisahau kuniulizia nami kuwa huyo anayeitwa Sipho Mavuzi hapo kwa Lugha adhimu ya Kizulu ndiyo ina maana gani?
Mimi nauliza maana ya jina SIPHO hilo la mwisho sijauliza ila kwenye uzi nimeweka majina ya mwisho kama mfano tu, ili watu waweze kuelewa mapema.