Ng'ongoampoku
Member
- Sep 18, 2012
- 47
- 9
Kwa wale walioitwa kwenye interview university of dodoma waangalie majina yao tena kwani kunalist imetoka baadhi ya majina hayaonekani, majina yaliyotoka mwanzoni yalikuwepo lakini list ya majina ya pili hayapo,
kwa mfano nafasi za warden, mwazoni walichaguliwa watahiniwa 626 na jina langu lilikuwepo lakini sasa majina yametoka tena na idadi ni ile ile lakini jina langu halipo. I don't know what happened, au ndo uchakachuaji umeanza?
Naombeni ushauri cha kufanya, niache kwenda kwenye interview au nifanye nini?
Nawasilisha
ahsanteni